Hiki kipindi kwakweli huwa sielewi logic yake, naonaga ni kama maigizo zaidi kuliko reality. Hivi huyo muandaaji anakuwa anajuaje kwamba fulani na fulani hawapatani huko mitaani? Na je kama ni...
Naipenda sana hii movie, nilikuwa siyo shabiki sana wa movie za kigabachory lakin hii ndo ikafungua pazia ,na tangu hapo nimekuwa nazifuatilia kila napopata nasafi.
Ni movie Nzuri inayoquestion...
Kama bandiko linavojielezanaomba kama unajua vitu mbalimbalina mambo yanayomuhusu 2pac naomba kujua ,......kwa sababu kuna kibao kimoja nimepitia mashairi yake nikajua jamaaa alikuwa ni zaidi ya...
Hivi jamani unampeleka Ali Kiba kwenye tuzo kubwa kama hizi kwa nyimbo gani kwa kipi alichokifanya hawezi kuchukuwa hata namba mbili mimi nasema zile ni tuzo za africa sio kili jamani anaenda...
Mwanamuziki wa kimataifa anayeshika namba mbili africa nzima kuwa na followers 2.7million nyuma ya David Adeleke Adedeji AKA Davido, Diamond Platnumz au ukipenda muite Simba vampire leo ametoa...
Salaam Wakuu.
Sasa Hivi Star Tv Kuna Kinondoni Talent Search.Muandaaji Ni Paul Makonda,mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni.Ni Jambo Zuri Lakini Hakuna Maofisa Utamaduni?
Mgeni Rasmi Ni Mh.Rais Wa JMT...
This used to be a staple on Yo! MTV Raps! with Ed Lover and Dr. Dre back in 93! Damn! How I loved and looked forward to watching this show every Saturday morning back in the day...
1. Souls of...
Wasalam wana jf,ivi karibu kwenye kingamuzi cha star times naona majaribio ya ujio ya tv mpya kwa lugha ya malkia(signal test) je ndio ujio mpya kwa tabibu aliyefungiwa na serikali kutoa huduma ya...
Kumekuwa na application nyingi nzuri katika smartphone zetu ila mimi sizifahamu.Ila baadhi ya ninazo zijua ni
PARALLE SPACE
ambayo hii ukuwezesha kutumia whatsap mbili,insta mbili,facebook mbili...
Nilikuwa sijui Dre na Suge wana mwanamke wamezaa nae
kila mmoja na mtoto wake
sipati picha inakuaje....unazaa na mwanamke anakuja kuzaa na adui yako
watoto sijui mnawaleaje?
watoto wa mama mmoja...
raggae ni tofauti na miziki mingine ni mziki ambao hauchuji hata kidogo hasa ukiwasikiliza lucky dube .Dube alikuwa mtaalamu sana wa kinanda sikiliza wimbo .Back to my root vinanda humo...
kuna wimbo kashilikishwa Ali kiba sijui umeimbwa na nani,sijui jina la wimbo ila unapoanza jamaa anasema'anataka aonekane kwenye gazeti auze sura' msaada plz
Nafsi ya mtu ni jumba,jba la giza totoro,
Tena lenye vingi vyumba,usiyojua zoke kasoro,
Waweza kuhisi cha simba, kumbe chumba cha kongoro,
Nafsi inabeba mengi, ni siri ya mwenye nayo.
Machoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.