AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
1,025
Reaction score
475
Washiriki 16 waliongia hatua ya 16 Bora Leo wanachuana katika hatua ya Mwisho kutambua Nani ataibuka na shillingi Milioni 30:

Azam TWO watakuwa live saa 3 Kamili Usiku

Hebu tubashiri kidogo; japo haibadili kura maana Zilishafungwa Jana saa 6 usiku

Wakatabah

GR

Unaweza kutazama live kupitia Azam TWO stream service

UPDATE:

Waziri Mwenye dhamana ya Viwanda na Biashara MH. Mwijage kamuahidi Mshiriki kutoka Mtwara mashine ya Kubangua korosho yenye thamani ya shillingi milioni 8 na inaweza kuajiri watu 20. Hongera Grace Pemba.


 
Azam wangekuwa na wataalamu wazuri wa vipindi wangekuwa kama super sport
 
Azam wapo vizuri but wanakosa ubunifu na pia mkurungezi wa vipindi na uzalishaji hayuko fiti kiushindani
 
Back
Top Bottom