Olive Kiarie kutoka Kenya aibuka mshindi wa maisha plus

Olive Kiarie kutoka Kenya aibuka mshindi wa maisha plus

The Cock

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
245
Reaction score
394
Anaondoka na kitita cha tsh 30,000,000. Hongera zake!!

========

FB_IMG_1477860154814.jpg

Olive Kiarie kutoka Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus Afrika Mashariki 2016. Amejinyakulia TZS milioni 30
 
Ila ataichukua baada ya kuwa imekatwa kodi.Yale mambo ya kupewa hela mkononi cash siku hizi hamna.
Ndio maana mwaka huu hata Clouds wametoa macho kweli kumleta msanii wa fiesta,maana ni lazima msanii watakemleta mwaka huu malipo yake yapitie TRA...
 
Na mimi nilijua tu mshindi wa safari hii lazima atoke nchi jirani.....maana wa tz kwa kujikosha hatujambo.
 
Back
Top Bottom