Music Videos za Kibongo lazima zitengenezwe S.A??

Music Videos za Kibongo lazima zitengenezwe S.A??

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,510
Reaction score
135,559
Naona music videos nyingi za wasanii wetu zinatengenezwa SA, ndio kusema directors wetu hapa hawana viwango au location za huko ndio zinawavutia?! Tena hata video quenns wengine wanatumia wazungu weusi hawafai au?

Anyway kuna videos nyingine za hapa hapa zinakuwa nzuri kuliko za huko S.A unahitaji ubunifu tu. Video hii ya Darasa naamini imetengenezwa TZ na mizigo iliojaaliwa ya kibongo na sio mbaya

 
Kuna kama ule wimbo wa chege sijui na temba hata sijaona la maana!!
Naona wengine wanafuata mkumbo tu, kisa fulani kafanyia South.
 
Nahisi wanafata vifaa..Madirector wa bongo na location za bongo mbn zipo vizuri tu.
 
Back
Top Bottom