MAISHA PLUS EAST AFRICA 2016

MAISHA PLUS EAST AFRICA 2016

Kilemachocho

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2016
Posts
560
Reaction score
366
Haya sasa Wale wadau wote tunaofuatilia msimu wa Tano wa maisha plus tumwagike hapa kuwachambua washiriki kwa namna wanavyoishi ikiwa na pamoja na umuhimu wa mshiriki mmoja mmoja na sio mbaya tukipendekeza yupi atoke na mi kwa sababu gani.
Nawasilisha...Karibuni wadau
 
Wadau mmeona kilichotokea leo kijijini.?? mnalizungumziaje.?
 
Back
Top Bottom