KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,524
Utamaduni ni kitu cha ajabu sana. Hivi ushawahi kuangalia jinsi King Mswati anavyotafuta jiko. Ni utamaduni wa aina yake. Utamaduni wao wa kila mwaka umekuwa ukivutia watu kutoka mataifa mbalimbali. Kinachovutia ni dansi na muziki wao. Dah, ni starehe ya aina yake, ila kwa wengine inahitaji roho ngumu kama sio ya paka.
Nimekuwa nikisikiliza na kuangalia muziki ya watu wa mataifa mbalimbali. Ila nastaajabu na hawa ndugu zetu Wazulu (Wangoni hawamo) utamaduni wao unanishangaza sana wanacheza huku matiti yakiwa vululuvululu. Mbele ya Mfalme, hivi hawaoni soni!!?? Hebu nawe waone walivyo, kwa huku kwetu ingekuwa balaa kubwa.