my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Mkuu umeniwahi naapa kwa Mungu! Nilikua natype nikaona ushamaliza kazi!l'onore e il rispetto ni italian series fanya unipe dollar 200 zangu fastaaa
ina four seasons
imeanza kurushwa first season 2006
second season 2009
third season 2012
na fourth season 2015
kuna kingine unachotaka kujua?
hiyo iyo mgawo usisahauMkuu umeniwahi naapa kwa Mungu! Nilikua natype nikaona ushamaliza kazi!
Mkuu umeniwahi naapa kwa Mungu! Nilikua natype nikaona ushamaliza kazi!
ha ha ha usjal mkuu ngoja aje hapa atoe mpunga.....Mkuu umeniwahi naapa kwa Mungu! Nilikua natype nikaona ushamaliza kazi!
Mkuu ngoja nikuelezee. Mi natumia UC Browser kubrowse JF lakini pia nina app ya Jf na huu uzi niliuweeka uzi wa kuuwatch,sasa jamaa alivyoandika na kuituma app ya JF ikaleta notification nilipoisoma kazi imeisha.Acha uongo, ukiwa unatype unaonaje post mpya ikiingia?
Unitoe dolla 50 sasa mkuu! Hahahahha ha ha usjal mkuu ngoja aje hapa atoe mpunga.....
Mkuu ngoja nikuelezee. Mi natumia UC Browser kubrowse JF lakini pia nina app ya Jf na huu uzi niliuweeka uzi wa kuuwatch,sasa jamaa alivyoandika na kuituma app ya JF ikaleta notification nilipoisoma kazi imeisha.
Hakuna shida ntakupa 50 yako mkuuUnitoe dolla 50 sasa mkuu! Hahahah
Usijali Mkuu wangu! Ni kawaida ila jifunze tu kureason before you judge.Asante kwa kunielewesha mkuu, halafu samahani make nimetumia neno kali (uongo) badala ya kuuliza tu kwa utaratibu.
Mimi siyo mpenzi wa series kwa hiyo nilikua siijui ila nilitumia tu technology. Niliichukua huo wimbo nikauweka kwenye Shaxam ikaniletea jina la nyimbo nikaiserach seriea iliyotumika nikaipata. Wakati namalizia kuchukua maelezo ukaniwahiHakuna shida ntakupa 50 yako mkuu
Usijali Mkuu wangu! Ni kawaida ila jifunze tu kureason before you judge.
Mimi siyo mpenzi wa series kwa hiyo nilikua siijui ila nilitumia tu technology. Niliichukua huo wimbo nikauweka kwenye Shaxam ikaniletea jina la nyimbo nikaiserach seriea iliyotumika nikaipata. Wakati namalizia kuchukua maelezo ukaniwahi
msijal jaman la msing kumleta mtoa mada akuje hapa ili ijumaa ya leo iwe maridadiii kabisaSure man, nisamehe sana.
Na thanks kwa jinsi ulivyonielewesha, make nimejiona nimekosea kweli.
Thanks.
Pamoja sana kaka! Usijali mkuu wangu!Sure man, nisamehe sana.
Na thanks kwa jinsi ulivyonielewesha, make nimejiona nimekosea kweli.
Thanks.