Igizo la DHAMIRA linalorushwa ITV

Valsava

Senior Member
Aug 16, 2015
150
104
Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa 3:00 usiku.Je wewe unalifuatilia?,unalionaje?
 
Me, I follow. I like it.
 
Kuna baadhi ya waigizaji wa igizo hili wanajitahidi but wengi wao wanaongea kwa vituo kma wamekariri script yaan had igizo linaboa but theme yao ni nzuri nadhan director wao chrissant mhenga inabidi awatafutie assistant director wa screen play maana tunakosa uhondo na nimemzoea chrissant toka enzi za kina kanumba,mzee pwagu,ray,bi hindu na wengine in short yeye ndo muanzilishi wa kaole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom