Channel Mpya DSTV Trace Muziki inaboa

Channel Mpya DSTV Trace Muziki inaboa

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed kwani wanarudia nyimbo mpaka zinaboa, ni kama wana play list ya wasanii wachecha ambao wamewalipa kurudia nyimbo zao kila wakati..najua Afrika mashariki kuna wanamuzki wengi tu lakini walioko kwenye rotation yao hawazidi kumi hasa wakenya...
Badilikeni....KIFUPI MNABOA
DSTV tunahitaji burudani
 
Mkuu hawajapga ngoma za kiba nn maana team kiba kwa lawama hamjambo.............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
kwanza wametutolea trace urban wakatuwekea hizi bolingo sijui wanatuchukulia sisi waporipori sana
 
trace wanazingua...kuna hii inajiita trace africa asee huwa siwaelewagi kabsa ngoma zao sijui wanazitolea wapi
 
ukibahatika kukutana na hii Box hits, Kiss, magic. Hapa ni burudani mwanzo mwisho yan nonstop Hits
 
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed kwani wanarudia nyimbo mpaka zinaboa, ni kama wana play list ya wasanii wachecha ambao wamewalipa kurudia nyimbo zao kila wakati..najua Afrika mashariki kuna wanamuzki wengi tu lakini walioko kwenye rotation yao hawazidi kumi hasa wakenya...
Badilikeni....KIFUPI MNABOA
DSTV tunahitaji burudani
Inaitwa kufunikwaa
 
Mkuu tatizo hao wasanii wengine hawajapeleka ngoma zao kwenye hiyo TV Station ndio maana wanarudia zilezile...

ila sisi ambao tupo nje ya east africa tuja-enjoy kupata miziki ya kinyumbani
 
kiss na box ni nzuri sana...
sema waweza kuta miziki inapigwa BOX na Kiss hio hio
wale wanapiga hit songs zilizoko kwenye chat kwa mda huo. So ngoma ikichuja wanatia kapuni ndiomaana unakuta ngoma zinajirudia
 
Wapostie kwenye page yao fb ya dstv huwa wanajibu hapo hapo.......watuwekee tu channel 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom