WCB kutokuwepo kwenye EATV Awards kunamaanisha nini?

WCB kutokuwepo kwenye EATV Awards kunamaanisha nini?

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,731
Napenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music industry ya bongo mwaka huu ...

Nimeshangaa zaidi hata category ya chipukizi si [HASHTAG]#harmonize[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#rayvanny[/HASHTAG] ambao ni washirika

Swali langu kwa hawa vijana je wao si undergrounds?, wameshakua? au wameingia kwenye beef za boss wao kitu ambacho hakiwahusu?

Lets share the views....
1478967517908.png
 
Jide kuna vitu amekuwa anapost nowdays kama namuelewa vile

Hata TID naye kuna vitu alisema

Ila ukweli utabaki kuwa wazi

Wa moja mbili hazimtoshi

Ataziangusha tu!!

Ni kama kuna wasanii wa Cloudz, Na wasanii wengine Tanzania

Yaani makundi ya kuua mziki yamejiweka hadharani
Huku mziki uko taabani, MAKUNDI YAKO BIEN

Man Fongo na kina Harmonizer ni kama level za kufanana (labda kwa muda tu) sasa anaposhindanishwa na wasio... Lazima ashinde

Halafu huyu jamaa ni kama wa ule upande mwingine, Au ni chuki zangu tu binafsi?
 
Lets share the views....View attachment 433160
hawapatani
 
Wanajiona.n.wakubw kuliko tuzo.
 
Jide kuna vitu amekuwa anapost nowdays kama namuelewa vile

Hata TID naye kuna vitu alisema

Ila ukweli utabaki kuwa wazi

Wa moja mbili hazimtoshi

Ataziangusha tu!!

Ni kama kuna wasanii wa Cloudz, Na wasanii wengine Tanzania

Yaani makundi ya kuua mziki yamejiweka hadharani
Huku mziki uko taabani, MAKUNDI YAKO BIEN

Man Fongo na kina Harmonizer ni kama level za kufanana (labda kwa muda tu) sasa anaposhindanishwa na wasio... Lazima ashinde

Halafu huyu jamaa ni kama wa ule upande mwingine, Au ni chuki zangu tu binafsi?
Hapana upo sawa nahisi wanahofu ya kushindwa sasa kama upo vizuri hofu ya nn ?
 
Kuna uzi uliletwa humu, ukitaka kuwania tuzo hizo inabidi utume maombi ukiambatanisha na kazi zako.

So inavyoelekea hawakutuma maombi ya kuwania.
Kwann hawakupeleka na walikuwa na vigezo? tunarudi pale pale kwenye swali langu
 
Unajua mara zote msanii kama umeishakuwa nominated kwny tuzo kubwa huwez kurudi nyuma

WCB ni wa kimataifa hawataki kushindanishwa na waTz

Diamond, harmonize na Raymond wote katika tuzo wamekwsha shiriki tuzo za kimataifa kwaiyo tuzo za kitaifa sio level zao

WCB wapo sahihi maana kama wangeshiriki msanii bora wa mwaka, video bora ya mwaka, wimbo bora wa mwaka, msanii chipukizi zote wangechukua na ingeleta minongono

WCB the Great_thinkerz
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Itakuwa hawkutuma maombi tu hzi mpaka utume maombi kwanza.
 
Unajua mara zote msanii kama umeishakuwa nominated kwny tuzo kubwa huwez kurudi nyuma

WCB ni wa kimataifa hawataki kushindanishwa na waTz

Diamond, harmonize na Raymond wote katika tuzo wamekwsha shiriki tuzo za kimataifa kwaiyo tuzo za kitaifa sio level zao

WCB wapo sahihi maana kama wangeshiriki msanii bora wa mwaka, video bora ya mwaka, wimbo bora wa mwaka, msanii chipukizi zote wangechukua na ingeleta minongono

WCB the Great_thinkerz
Unajua afrima ni za nchi gani? (nigeria) wizkid anashiriki au hashiriki? (anashiriki) je ni kitu gani ambacho wcb wanaridhika nacho chakufanya wasishiriki ikiwa hao wanaowaiga wanashiriki na hawabagui? hivi mnajua kuwa eatvarward ni za east africa yote? inakuaje unasema ni ndogo wakati hata kina navio wanashiriki?
 
mfumo wa kuendesha shindano lenyewe ni mbovu kabisa na unatia aibu,,,unaanza vipi kumwambia Diamond aandike barua ya kuomba kushiriki tena akiwa ameambatanisha na kazi alizowahi kufanya (anazotaka zishindane)!!!!? upuuzi mtupu hata mimi nisingeweza...tuwaachie undergrounds wa Tukuyu, Kasulu, Chanika, Kilombero, Makambako n.k
 
Kawaulize wana e-mail addresses pia zipo nje nje, wao ndio watakujibu ufurahie.
HAhha naona povu linakutoka lengo hapa tujadili kwann hawakupeleke proposal? ikiwa walikuwa na uhuru huo, tena eatv naona wameondoa lawama kila mtu kapewa uhuru wa kupeleka kaz
 
Back
Top Bottom