Music uishio hapa

Music uishio hapa

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,319
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya music fans wote. Lengo ni kukumbushana musiki wa kibongo hasa zile track zenye jumbe kuntu za kufundisha jamii katika maisha ya kila siku na changamoto zake, Unacho takiwa kufanya ni kuandika jina la mwanamziki na single iliyokubamba hasa katika kuelimisha jamii.


mfano, zari zarina by 20% percent


maisha ya bongo 20% percent


kusema kweli nyimbo za bwana huyu zinaishi na kufundisha jamii



Karibu sana
 
Wimbo wangu wa muda wote ni mtazamo wa solo thang
 
Back
Top Bottom