shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,071
Nina mahaba sana na hawa jamaa wa hili kundi la West life toka nikiwa shuleni.
Leo shauku ya moyo wangu nataka kulileta nchini kundi hili kwa gharama yoyote ile.Mwenye full details kuhusu gharama zao tafadhali tusaidiane.
Naamini itakuwa show kabambe maana naujua uwezo wao jukwaani.
Ahsanteni!