Wimbo huu wa Vanessa ni si level yetu madam!

Wimbo huu wa Vanessa ni si level yetu madam!

Sema wimbo una makelele kichizi.. Auto tunes na beat ilivyo. I'm nat hating though
 
Sema wimbo una makelele kichizi.. Auto tunes na beat ilivyo. I'm nat hating though
Mkuu huu wimbo sio mzuri hata kidogo v kaishindwa beat kabisa yaani beat ni nzuri ajabu sema yeye hakujiandaa na huu wimbo kakurupuka
 
of course uko vinzur sana, kuna mwingne wa navy kenzo sio was nchii hii
 
Back
Top Bottom