PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
Msanii Young daresalama kaachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina FURAHA ngoma iko poa sana na official music video yake ni nzuri sana kafanya HANSCANA,video vixen kaonekana mrembo Tunda kafanya poa ngoma ipo chini hapo[emoji116]