Koffi Olomide adhihirisha hana mpinzani

Koffi Olomide adhihirisha hana mpinzani

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,411
Reaction score
3,279
Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa kikongo bolingo watakua wanamfahamu vizuri huyu nguli asiyechuja kila mwaka
Baada ya wanamuziki chipukiza wa kizazi kipya wa bolingo kuachia nyimbo zao kwa mtindo wa kisasa bolingo rumba lenye sebene kama original ya Fally ipupa au Seben ya Ferre Gola baadhi wakajua mkongwe huyu atachemke kwa style hii
Lakini kumbe hii ndio style yake haswa
Hili linajidhihirisha wazi baada ya kuachia Selfie ambayo inasumbua mbaya baada ya kutoka kwa muda mfupi sana
Jionee mwenyewe
http://youtu.be/9fYV6ul5Mrc
 
Tunaojua Muziki Hasa Ya DRC Ukisema Koffi Olomide Hana Mpinzani TUTAKUCHEKA Na KUKUDHARAU Pia. Ili Ujue Tu Kuwa Huyo Koffi Wako Ni Cha Mtoto Kwa Vichwa Hivi Viwili Ambavyo Ndivyo Vinamsumbua Sasa Na Anaviogopa Pata Kwanza Tu Mchanganuo Huu Ufuatao:

1. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 150 $ ( Ukumbi Ni Zenith )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 100$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 80$

2. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 120$ ( Ukumbi Ni Bercy )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 90$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 60$

3. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 130$ ( Ukumbi Ni Olympia )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 110$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 90$

Sijawaweka Akina Fally Ipupa Na Ferre Gola Kwakuwa Shows Zao Zote Ktk Hizo Kumbi Tajwa Hapo Juu Hazizidi 30$. Kama Wewe Umefanya Mambo Ya Marketing And Promotions Utagundua Kuwa Bei Husika Hupangwa Na UBORA Na UZURI Wa Bendi Na Kama Hiyo Haitoshi ILI Uwe Mwanamuziki Mkubwa DRC Ni Lazima Uthubutu Kupiga Katika Hizo Kumbi Kubwa Tatu Tajwa Hapo Juu. JB Mpiana Na Werrason Kila Wakipiga Shows Zao Hapo Lazima Kuwepo Na NYOMI Kama La Lowassa Ambapo Hupelekea Watu KUFA.

Na Kipi Kinamfanya Koffi Afunikwe Na Hao Ni Kwamba Koffi Ni Mzuri Ktk Utungaji Tu Na Miziki Ya KUREKODI Ila Hao WANAMUME Wawili Ndiyo MABINGWA WALIOTUKUKA Wa " Live Shows " Zote DRC Nzima. Fundi Anaonekana Ktk " Live " Na Siyo Ktk Nyimbo Zilizorekodiwa Na Kufanyiwa Editing Za Kutosha.

Kwa Sasa Naomba Nikuache Tu Na Haya Machache ILA Kama Utataka UFAFANUZI Zaidi Karibu.
 
Kwenye Muziki kitu kimoja wapo kinamfanya mwanamuziki kuwa bora ni consistence, Toka ameanza muziki sifa kubwa ya Koffi ni kumaintain muziki wake kwa kiwango kilekile kwa muda mrefu sana kuliko mwanamuziki yeyote wa Congo
Wenzake wengi sana hivi sasa wamebaki historia lakini Koffi ndio yuleyule

Pili kiingilio pekee sio kigezo cha ubora wa mwanamuziki inategemea kwa wakati huo umetoa wimbo gani na umekubalika vipi unaweza kuweka fees hata ya us 500 lakini consistence ikawa hakuna, yaani mwaka unaofuata unaanza kupiga baa bure

Kumbi nyingi ulizotaja ni za Paris ambapo kimsingi Koffi haendi kwa muda mrefu sasa kwasababu anamatatizo ya kisheria na Ufaransa na ndio maana unaona hao ulio wataja wanakwenda kama kwenda kariakoo

Swala la nani ni mkali wa jukwaani inategemeana na mtazamo na ladha yako mkuu, hao uliowataja ni wataalamu wa fujo ukumbini kwa maana ya kushambulia jukwaa balaa sababu ya aina yao ya muziki na utambulisho wao
Kiffi naye ana aina yake inayopendwa kwa ladha yake na sio lazima iwe kama akima Wenga
Chris brown kujua kucheza sana hakumfanyi kuwa bora sana kuliko wengine ambao si wachezaji sana
Its all about ladha
Indication nyingine kwamba Koffi yupo vizuri ni utajiri alionao, jaribu kugoogle mwanamuziki tajiri Africa mara nyingi sana koffi atakua juu ya wanamuziki wa Congo, ikimaanisha anavuta mkwanja wa kutosha na bado anamiliki band tofauti na akina Fally wanaounga unga wanamuziki

Naamini Koffi hana mpinzani kwa sababu hizo, jembe linajua kumaintain, hakuna mwanamuziki anafanya vema congo kwa muda mrefu kama koffi

Karibu unifafanulie zaidi
 
Kiingilio Cha Mechi Baina Ya Ndanda FC Na Toto Africa FC Ni Sawa au Kinafanana Na Cha Simba Na Yanga? Kwa Swali Hili Ni Mategemeo Yangu Kuwa Utakuwa Umeelewa Logic Yangu Behind Nilichokuambia Hapo Juu. Endelea Na MOPAO MOKONZI Wako Huku Mimi Nikibaki Na Akina PAPA CHERI Na LE ROI DE LA FOREI Wangu.
 
Ndio ufafanuzi huu mkuu?
Nilidhani unajua vizuri muziki wa Congo!!!!!
 
Tunaojua Muziki Hasa Ya DRC Ukisema Koffi Olomide Hana Mpinzani TUTAKUCHEKA Na KUKUDHARAU Pia. Ili Ujue Tu Kuwa Huyo Koffi Wako Ni Cha Mtoto Kwa Vichwa Hivi Viwili Ambavyo Ndivyo Vinamsumbua Sasa Na Anaviogopa Pata Kwanza Tu Mchanganuo Huu Ufuatao:

1. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 150 $ ( Ukumbi Ni Zenith )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 100$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 80$

2. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 120$ ( Ukumbi Ni Bercy )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 90$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 60$

3. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 130$ ( Ukumbi Ni Olympia )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 110$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 90$

Sijawaweka Akina Fally Ipupa Na Ferre Gola Kwakuwa Shows Zao Zote Ktk Hizo Kumbi Tajwa Hapo Juu Hazizidi 30$. Kama Wewe Umefanya Mambo Ya Marketing And Promotions Utagundua Kuwa Bei Husika Hupangwa Na UBORA Na UZURI Wa Bendi Na Kama Hiyo Haitoshi ILI Uwe Mwanamuziki Mkubwa DRC Ni Lazima Uthubutu Kupiga Katika Hizo Kumbi Kubwa Tatu Tajwa Hapo Juu. JB Mpiana Na Werrason Kila Wakipiga Shows Zao Hapo Lazima Kuwepo Na NYOMI Kama La Lowassa Ambapo Hupelekea Watu KUFA.

Na Kipi Kinamfanya Koffi Afunikwe Na Hao Ni Kwamba Koffi Ni Mzuri Ktk Utungaji Tu Na Miziki Ya KUREKODI Ila Hao WANAMUME Wawili Ndiyo MABINGWA WALIOTUKUKA Wa " Live Shows " Zote DRC Nzima. Fundi Anaonekana Ktk " Live " Na Siyo Ktk Nyimbo Zilizorekodiwa Na Kufanyiwa Editing Za Kutosha.

Kwa Sasa Naomba Nikuache Tu Na Haya Machache ILA Kama Utataka UFAFANUZI Zaidi Karibu.

Yawezekana hukumwelewa ama umemwelewa kupita yeye alivyomaanisha
 
Kwenye Muziki kitu kimoja wapo kinamfanya mwanamuziki kuwa bora ni consistence, Toka ameanza muziki sifa kubwa ya Koffi ni kumaintain muziki wake kwa kiwango kilekile kwa muda mrefu sana kuliko mwanamuziki yeyote wa Congo
Wenzake wengi sana hivi sasa wamebaki historia lakini Koffi ndio yuleyule

Pili kiingilio pekee sio kigezo cha ubora wa mwanamuziki inategemea kwa wakati huo umetoa wimbo gani na umekubalika vipi unaweza kuweka fees hata ya us 500 lakini consistence ikawa hakuna, yaani mwaka unaofuata unaanza kupiga baa bure

Kumbi nyingi ulizotaja ni za Paris ambapo kimsingi Koffi haendi kwa muda mrefu sasa kwasababu anamatatizo ya kisheria na Ufaransa na ndio maana unaona hao ulio wataja wanakwenda kama kwenda kariakoo

Swala la nani ni mkali wa jukwaani inategemeana na mtazamo na ladha yako mkuu, hao uliowataja ni wataalamu wa fujo ukumbini kwa maana ya kushambulia jukwaa balaa sababu ya aina yao ya muziki na utambulisho wao
Kiffi naye ana aina yake inayopendwa kwa ladha yake na sio lazima iwe kama akima Wenga
Chris brown kujua kucheza sana hakumfanyi kuwa bora sana kuliko wengine ambao si wachezaji sana
Its all about ladha
Indication nyingine kwamba Koffi yupo vizuri ni utajiri alionao, jaribu kugoogle mwanamuziki tajiri Africa mara nyingi sana koffi atakua juu ya wanamuziki wa Congo, ikimaanisha anavuta mkwanja wa kutosha na bado anamiliki band tofauti na akina Fally wanaounga unga wanamuziki

Naamini Koffi hana mpinzani kwa sababu hizo, jembe linajua kumaintain, hakuna mwanamuziki anafanya vema congo kwa muda mrefu kama koffi

Karibu unifafanulie zaidi

Uko vizuri mkuu.
 
Tunaojua Muziki Hasa Ya DRC Ukisema Koffi Olomide Hana Mpinzani TUTAKUCHEKA Na KUKUDHARAU Pia. Ili Ujue Tu Kuwa Huyo Koffi Wako Ni Cha Mtoto Kwa Vichwa Hivi Viwili Ambavyo Ndivyo Vinamsumbua Sasa Na Anaviogopa Pata Kwanza Tu Mchanganuo Huu Ufuatao:

1. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 150 $ ( Ukumbi Ni Zenith )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 100$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 80$

2. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 120$ ( Ukumbi Ni Bercy )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 90$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 60$

3. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 130$ ( Ukumbi Ni Olympia )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 110$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 90$

Sijawaweka Akina Fally Ipupa Na Ferre Gola Kwakuwa Shows Zao Zote Ktk Hizo Kumbi Tajwa Hapo Juu Hazizidi 30$. Kama Wewe Umefanya Mambo Ya Marketing And Promotions Utagundua Kuwa Bei Husika Hupangwa Na UBORA Na UZURI Wa Bendi Na Kama Hiyo Haitoshi ILI Uwe Mwanamuziki Mkubwa DRC Ni Lazima Uthubutu Kupiga Katika Hizo Kumbi Kubwa Tatu Tajwa Hapo Juu. JB Mpiana Na Werrason Kila Wakipiga Shows Zao Hapo Lazima Kuwepo Na NYOMI Kama La Lowassa Ambapo Hupelekea Watu KUFA.

Na Kipi Kinamfanya Koffi Afunikwe Na Hao Ni Kwamba Koffi Ni Mzuri Ktk Utungaji Tu Na Miziki Ya KUREKODI Ila Hao WANAMUME Wawili Ndiyo MABINGWA WALIOTUKUKA Wa " Live Shows " Zote DRC Nzima. Fundi Anaonekana Ktk " Live " Na Siyo Ktk Nyimbo Zilizorekodiwa Na Kufanyiwa Editing Za Kutosha.

Kwa Sasa Naomba Nikuache Tu Na Haya Machache ILA Kama Utataka UFAFANUZI Zaidi Karibu.

Kwa sie ambao tumehusika kuusikiliza na kuucheza muziki wa Koffi, tunakuelewa vizuri sana kwamba jamaa yuko unique sana, Charles Antonio Koffi Olo Mide ni size nyingine tena kwa hapa Tz jamaa hajawai kushuka na ana mashabiki wengi kupita mtu yeyote yule kutoka Congo tokea 1990's
 
Kitu cha selfie..hatariiiii..ekotikeeeee!!!!
 
Tunaojua Muziki Hasa Ya DRC Ukisema Koffi Olomide Hana Mpinzani TUTAKUCHEKA Na KUKUDHARAU Pia. Ili Ujue Tu Kuwa Huyo Koffi Wako Ni Cha Mtoto Kwa Vichwa Hivi Viwili Ambavyo Ndivyo Vinamsumbua Sasa Na Anaviogopa Pata Kwanza Tu Mchanganuo Huu Ufuatao:

1. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 150 $ ( Ukumbi Ni Zenith )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 100$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 80$

2. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 120$ ( Ukumbi Ni Bercy )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 90$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 60$

3. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 130$ ( Ukumbi Ni Olympia )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 110$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 90$

Sijawaweka Akina Fally Ipupa Na Ferre Gola Kwakuwa Shows Zao Zote Ktk Hizo Kumbi Tajwa Hapo Juu Hazizidi 30$. Kama Wewe Umefanya Mambo Ya Marketing And Promotions Utagundua Kuwa Bei Husika Hupangwa Na UBORA Na UZURI Wa Bendi Na Kama Hiyo Haitoshi ILI Uwe Mwanamuziki Mkubwa DRC Ni Lazima Uthubutu Kupiga Katika Hizo Kumbi Kubwa Tatu Tajwa Hapo Juu. JB Mpiana Na Werrason Kila Wakipiga Shows Zao Hapo Lazima Kuwepo Na NYOMI Kama La Lowassa Ambapo Hupelekea Watu KUFA.

Na Kipi Kinamfanya Koffi Afunikwe Na Hao Ni Kwamba Koffi Ni Mzuri Ktk Utungaji Tu Na Miziki Ya KUREKODI Ila Hao WANAMUME Wawili Ndiyo MABINGWA WALIOTUKUKA Wa " Live Shows " Zote DRC Nzima. Fundi Anaonekana Ktk " Live " Na Siyo Ktk Nyimbo Zilizorekodiwa Na Kufanyiwa Editing Za Kutosha.

Kwa Sasa Naomba Nikuache Tu Na Haya Machache ILA Kama Utataka UFAFANUZI Zaidi Karibu.

Tr?s bien! moi proffeseur.
 
Mie mpemzi wa muziki ya Kongo kwa muda mrefu sana Koffi yupo juu. Na mwanamuziki yoyote wa kongo ili afahamike lazima apitie kwa Papa Mopao kama vile Fally na Ferre Gola. Mfano Ferre amekua kwa game muda mrefu sana na hata Fally wote walipanda baada ya kunyanyuliwa na Koffi. Kunakibao cha vitaimana cha Ferre ambacho muda wa miaka ya 20050 kilijulikana kama ni cha Werrason
 
Papaa fololo bingwa wa miziki ya taratibu. . .Soupou. . .ukitaka kutulia baas vuta album moja kaa sikiliza. . .Tartiibu na ataraku ya Cindie. . .

Huyu wenzie akina Mayaula Mayoni nadhani. . . .

Fally na Ferre hawa ni full buzuki na ataraku. . .Kushambulia jukwaa kwa kwenda mbele

sijui kama ni sawa kuwaweka wote hawa kundi moja
 
mkali ila suala la video yuko chini video zake mbovumbovu sana.hazina ubora wala creativity yoyote..
 
Tunaojua Muziki Hasa Ya DRC Ukisema Koffi Olomide Hana Mpinzani TUTAKUCHEKA Na KUKUDHARAU Pia. Ili Ujue Tu Kuwa Huyo Koffi Wako Ni Cha Mtoto Kwa Vichwa Hivi Viwili Ambavyo Ndivyo Vinamsumbua Sasa Na Anaviogopa Pata Kwanza Tu Mchanganuo Huu Ufuatao:

1. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 150 $ ( Ukumbi Ni Zenith )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 100$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 80$

2. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 120$ ( Ukumbi Ni Bercy )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 90$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 60$

3. Wenge Musica BCBG ( JB Mpiana ) 130$ ( Ukumbi Ni Olympia )
Wenge Musica Maison Mere ( Werrason ) 110$
Quarter Latin ( Koffi Olomide ) 90$

Sijawaweka Akina Fally Ipupa Na Ferre Gola Kwakuwa Shows Zao Zote Ktk Hizo Kumbi Tajwa Hapo Juu Hazizidi 30$. Kama Wewe Umefanya Mambo Ya Marketing And Promotions Utagundua Kuwa Bei Husika Hupangwa Na UBORA Na UZURI Wa Bendi Na Kama Hiyo Haitoshi ILI Uwe Mwanamuziki Mkubwa DRC Ni Lazima Uthubutu Kupiga Katika Hizo Kumbi Kubwa Tatu Tajwa Hapo Juu. JB Mpiana Na Werrason Kila Wakipiga Shows Zao Hapo Lazima Kuwepo Na NYOMI Kama La Lowassa Ambapo Hupelekea Watu KUFA.

Na Kipi Kinamfanya Koffi Afunikwe Na Hao Ni Kwamba Koffi Ni Mzuri Ktk Utungaji Tu Na Miziki Ya KUREKODI Ila Hao WANAMUME Wawili Ndiyo MABINGWA WALIOTUKUKA Wa " Live Shows " Zote DRC Nzima. Fundi Anaonekana Ktk " Live " Na Siyo Ktk Nyimbo Zilizorekodiwa Na Kufanyiwa Editing Za Kutosha.

Kwa Sasa Naomba Nikuache Tu Na Haya Machache ILA Kama Utataka UFAFANUZI Zaidi Karibu.

Achana na koff wewe
 
Achana na koff wewe

JB Mpiana Wa Wenge BCBG Na Werrason Wa Wenge Maison Mere Ndiyo Habari Ya Congo Kinshasa Nzima Kama Hutaki Shauri Yako Sikulazimishi. Ukitaka Kupata Atalaku Za Maana Wasikilize Hawa Marapa Mahiri Wa Wenge BCBG Akina Gentamycine Lisimo Na Mwenzie Cellulaire Venga Na Ukitaka Kusikia Solo Guitar LILILOTUKUKA Na Drums Za Hatari Wasikilize Hawa Vijana Wa Wenge Maison Mere Ya Werasson Akina Flam Kapaya Na Papy Kakol. Koffi Olomide Wenu Kwa Akina JB Mpiana Na Werrason ANAKAA.
 
Back
Top Bottom