Darassa ft Ben Pol-Muziki VS Kala Jeremiah ft Mirium-Wanandoto

Darassa ft Ben Pol-Muziki VS Kala Jeremiah ft Mirium-Wanandoto

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Hizi zote mbili ni nyimbo bora kabisa kutoka kwa mwaka huu.Alipotoa nyimbo ya wanandoto ya kala Jeremiah wengi waliamini kuwa kwa Hiphop mwaka umefungwa na Kala ila ujio wa darassa uliipoteza kabisa hii ngoma kali yenye ujumbe mzito kwa jamii.


Huenda ni suala la mpito tu ila badae watu watairudia hii ngoma,ukiwa kama mdau au mpenzi wa muziki wa hiphop unaona ni ngoma ipi kali na inayopaswa kuita ya mwaka kwako kati ya hizi? Ikumbukwe Kala alipata zawadi kutoka BASATA kutokana na ujumbe mnono alioutoa katika nyimbo aliyomshirikisha mtoto Mirium.

Hii ni nyimbo ya Darassa ft Mgogo Ben Pol


Tuchambue kwa makini bila kuleta ushabiki.

Acha maneno weka muziki VS Wanandoto za kugombea urais kama Rungwe
 
tatizo maudhui ni tofauti sana so inakuwa shida kidogo katika kufanya maamuzi...
 
Hiyo ni miziki miwili tofauti, mwingine umerenga kuburudisha na mwingine umelenga kuhamasisha na kuelimisha, darasa kaimba mziki aina ya rumba na kala ni rap ya hip hop....ni ujinga kabisa kufananisha
 
aseee wanandoto ndio funga kaz ya mwaka kwa hiphop.kala ameua kabisaa
 
Acha kufananisha wana ndoto ni vitu vya kijinga jinga...itakua huijui hip hop
 
Wa darasa wa kupati pati huo wa kara j ni wa elimu kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake au mtoto wa kike
 
Hiyo ni miziki miwili tofauti, mwingine umerenga kuburudisha na mwingine umelenga kuhamasisha na kuelimisha, darasa kaimba mziki aina ya rumba na kala ni rap ya hip hop....ni ujinga kabisa kufananisha
Yan hapo ni sawa kafananisha kipa na mshambuliaji, huwez kujudge useme nani bora, cku nyingne fananisha nyimbo zenye maudhui yanayofanana... Huwez ukalinganisha MSUVA na KASEJA, halaf useme nani bora, coz wapo category tofauti ingawa wote ni wachezaji wa mpira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom