Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni nyimbo flani hv I think ni ya south Africa wanaimba (Selebona,Selebona,Selebona) plz wakuu kwa anaejua walioimba huu wimbo Msaada Tafadhal hii nymbo ni ya kitambo kidogo Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HAJARI ZENU WANA JAMVI? Msaada kidogo, kuna nyimbo fulani za kipindi cha miaka 90 huko , ninazitafuta ila nime sahau majina yake, kama utaweza tambua lyrics nitakazo weka nitashukuru kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwako Mary, Najua haupo humu, na sitaki ujue.. Najua ninaweza kukueleza haya ila moyo unasita. Moyo unagoma, naona ugumu mno kukueleza Umenikosea, nimekukosea tumekoseana. Umeomba msamaha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wimbo mpya wa Mrisho Mpoto; nimeusikiliza kwa makini kwani ameuimba kwa lugha tata sana na sio rahisi kujua aliakuwa anamaanisha nini kwa haraka haraka, Baada ya kuusikiliza na kutafakari...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Hii Movie Inaelezea Jinsi London Itakavyo Kuja Kufall Inaonyesha Katika King'amuz cha Star time Chanell Ya Tabibu 116
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau, Sasa tunaongeza chaneli mpya ya michezo kwa saa 24 kila siku itakayoitwa Azam Sports 2 na kuzinduliwa rasmi tarehe 12 Agosti mwaka huu. Kwa ongezeko hilo, kifurushi cha Azam Pure cha...
3 Reactions
27 Replies
15K Views
Sabbath vs Sunday
0 Reactions
0 Replies
664 Views
UPEPO WA USIKU-18 BONIFACE BIRAGE Mama Shully alijishauri sana kati ya kutopiga simu au kupiga kituo cha polisi.Tiyari ameshakuwa mshirika namba moja katikati ya mauaji makuu matano nyumbani...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hallo, Kwa wale wanaopenda kupata taarifa ya kisiasa, michezo na vinginevyo, basi kuna chanel mya ya youtube inayeitwa Dakika 3 ambayo inatoa taarifa kwa dakika tatu. Hii ni halka ya kwanza.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana jamvi kuna wimbo wa mwijuma muumini unaimwa "MAPENZI GANI YA SAFARINI , YA KUDANGANYANA MAMA WEWE UNAKWENDA SONGEA BWANA ANAKWENDA MTWARA" Tafadhalini naupenda sana nisaidieni wana jamvi.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mnisaidie films nzuri ya kingeleza jina la hiyo film niitafute Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hawa jamaa E fm unajua wanaweza kuwapindua ki ushawishi na usikilizwaji clouds media. Maana leo kila kona yani mji mzima wazee kwa vijana naona wameshika kasi kuelekea Tanganyika Packers...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Kichwa cha habari cheleeza naombeni majina ya films kali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
2K Views
OFAA OFAAA OFAAAAA Kama wewe ni masanii wa muuziki wa aina yoyote na umeshatengeneza audio yako unataka ku shoot video nzuri na yenye kiwango cha juu kulingana na soko la Africa Mashariki kwa...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Nambie kama wwe ni mdau movie gani maskini sana nitainjoy kuicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashindano ya magari (ARC) kufanyika bagamoyo weekend hii mwenye kujua chochote zaidi tupashane habari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampa dongo jamaa. "Mwambieni mfalme wenu koti langu alifute vumbi"
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Teacher Isack,hapa kazi tu Bora uwe mshumaa,uteketee mpaka mwisho Kumulikia wengine,mpaka mwanga uonekana Kuliko kuwa sabuni,kusafishia mafisadi Kukandamiza wanyonge,hata mungu hapendezi We raisi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…