Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mimi ni mkenya na ni vigumu kupata nyimbo za kwaya hii hata kwenye bookshop za kanisa Katoliki hapa Kenya. Naomba vile nitapata nyimbo hizi nzuri za kwaya ya Mt. Cecilia Mwenge Dar-es-salaam 1...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa music na entertainment hii ni thread special kwa ajili yetu, tutaweka new songs, audio&video, each music genre, hip hop, r&b, pop, african beats, bongo fleva mpk kwa Trump.....pia...
0 Reactions
3 Replies
661 Views
Wakuu, Leo nimeamka nimejikuta nina hamu ya kuwasikiliza hawa jamaa "UB 40" sema nimepata nyimbo mbili tu. **** kuna mwenye nazo anaweza kunisaidia hapa
1 Reactions
3 Replies
974 Views
Nanukuu : ------ Kumbukumbu yako ikoje katika kukumbuka ? Nilikuita ili uingie ndani. Kwa sababu kila anayeingia lazima atoke nje Sizonje " sizo za nje" ------- Hapa ndipo walipovishana majoho...
5 Reactions
7 Replies
6K Views
Pole sana Roma! Mara ya kwanza nilikuambia Hongera, lakini leo nakwambia POLE! wimbo wako unatuonesha kuwa unajuta kuimba Ukweli, Unajuta kusimama upande wa Watu na Unaonesha kuwa Mtindo...
21 Reactions
113 Replies
12K Views
Talented 1
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikasikia huu wimbo 'moyo mashine' nikajiuliza ni nani huyu anajua kuimba hivi. Kutafutatafuta nikaona jina Ben Pol, nishalisikia ila nikajiuliza wombo huu...
22 Reactions
166 Replies
13K Views
R.O.M.A MKATOLIKI, ALIVYOZAMISHWA NA KUIBUKIA ZIMBABWE. Mtu mmoja, mtaalamu wa elimu ya fizikia, Hisabati na elimu ya anga, Bw. Archimedes wa Syracuse aliyeishi kati ya mwaka 287 - 212 Kabla ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia Big Brother Africa kwa muda sasa lakini nilichokuja kugundua ni kuwa hili ni shindano moja chafu sana. Halipendezi kuingiwa na mtanzania. Haya ni mawazo yangu binafsi...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Hii ni aina ya movie ninazozipenda.. Na hii ni movie bora saana kwangu.. So kama kuna mdau yeyote anaezifahamu movie za aina hii, naomba anidondoshee hapa ili nizichek..........
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Bila ya kupoteza muda, hili song la Horace Brown limebeba ujumbe mahususi kwa vijana wa kisasa. Sisi wahenga nadhani tunakaa mbali na kutizama Ujana maji ya moto. One for the money ("one, one...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari waungwana! Nianze kwa kuwapongeza sana watunzi wa riwaya kwa kazi zao nzuri ambazo huelimisha,huonya,huhamasisha na kuburudisha jamii.Binafsi ni mpenzi wa riwaya hivyo nafurahi sana...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Sekta ya filamu imeendelea kukua kila kukicha nchini Tanzania,ambapo sasa filamu zinazotengenezwa nchini humo zinavuka anga ya kimataifa na kuonyeshwa sehemu nyingine duniani. T Junction ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa animation film, fanya kuidownload hiyo movie imetulia si mchezo. 2017 Quality: 720p / 1080p Language: English Genre: Action , Adventure ...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi kuna wadau wanaifatilia hii tamthiliya nzuri ya kihindi ya Beintehaa? Kiukweli mie naipenda naomba kama kuna watu wanaifatilia tupeane upadate.
0 Reactions
37 Replies
10K Views
La isla bonita guitar
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Guys, Naomba mnipendekezee jina zuri la band ya Muziki ambayo itakuwa ikitumbuiza kwenye 5 Star Hotels tu. Wanabendi ni wazungu na waafrika wa mataifa ya nje na wabongo kidogo...mimi nikiwa...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
1. wapenzi wengi wamekosa umahiri, umahiri wa kutunza siri, lakini wewe u mzuri, umenitunzia siri, nimekukosea mengi lakini umeyafanya mazuri, u mzuri wewe uliye msiri. 2...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tusaidiane jamani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom