Napenda movie za aina hii...

Napenda movie za aina hii...

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,980
Hii ni aina ya movie ninazozipenda.. Na hii ni movie bora saana kwangu..
So kama kuna mdau yeyote anaezifahamu movie za aina hii, naomba anidondoshee hapa ili nizichek..........
8ef63d16f30eb2c94d9a975b86dd3fbc.jpg
 
Mkuu misukosuko part 1 hivi zipo madukani?

Sijaiona YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo sidhani kwa kweli tatizo wasanii wetu hawana tamaduni ya kutunza kopi za kazi zao au kuweka kwenye mitandao Kama hiyo ya YouTube ukifatilia wasanii wenyewe Sasa walipo ndio utachoka zaidi, Kama sio mateja basi mungu aliwatendea wema.
 
Naona wadau wanakuletea utani mtoa mada 😀
Nimekusoma mkuu, Tafuta hizi movies; The Impossible, 127 Hours, Escape Plan, Captain Phillips, Devil, Rambo(2008), The Beach.
 
Naona wadau wanakuletea utani mtoa mada 😀
Nimekusoma mkuu, Tafuta hizi movies; The Impossible, 127 Hours, Escape Plan, Captain Phillips, Devil, Rambo(2008), The Beach.
Asante mkuu
 
Tafta movie inaitwa MISUKOSUKO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni noma wanapigana balaaaa

latest edition
 
Bangi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
neighbours 1na 2 (2 ina mambo yakish*ga,ila so sana), we are your friend,project x,meet the blacks, na barbershop:the next cut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha bla blah!sema unataka movies aina gani kati ya hizi zifuatazo!
Action
War
Family
Horror
Fantasy
Thriller
Mystery
Crime
Drama
Sci-fi
Comedy
History
Music
Documentary
Western
4k
Animation
Adventure!
 
Hiyo no escape movie ni mixer-action na thriller.
 
Back
Top Bottom