MUZIKI WA BONGO FLEVA USIWE CHANZO CHA KUARIBU TAIFA KWA TUNGO CHAFU..
Na Mgeni_wa_Jiji
Sanaa ni ajira iliyowainua vijana wengi duniani na sasa Tanzania tunalishuhudia hili. Ikiwa sanaa ni ajira...
Wakuu nimekuwa nikisikiliza mashairi ya wimbo huu na kuniacha nikitabasamu eti Mwanaume mashine! Ninacholingia Mashine..!!
hivi wanawake wao ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa miziki ya Kikongo ( DRC ) tokea nikiwa darasa la Kwanza mpaka hii leo nipo katikati mwa Ujanani na Uzeeni lakini sijawahi kuvutiwa na Nyimbo hizi zifuatazo za midundo ya...
Nilifarijika sana leo wakati natizama movie inaitwa aquos PEOPLE kiukweli niliipenda na ikabidi niirudoe mara kama 3 hiyo scene mahali mama katika movie hiyo aliikua anaucheza huo wimbo kwa madaa...
baada ya leo mchana kupost picha ya wimbo wa diamond na kutopost wimbo wa alikiba.. Na baadae kupost mpambano wa ngumi ya TMT
Sent from my Linux ubuntu mobile
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti.
Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze...
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia...
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake!
Mpaka sasa nimeangalia
1. 24 hours
2. Homeland
3...
Alianza mziki na Hiphop Diamond platnumz alisikika zaidi na track yake ya Jisachi ambayo ilikua nzuri tu,ila ktk harakati za kutafuta pessa zaidi akaishia kubana pua.
Platnumz kwenye hii remix ya...
Since first hit yake hadi sasa bill nass amekua akitoa nyimbo ambazo ukiwa umechoka na mawazo ukizisikiliza tu basi unajisikia fresh ghafla
hii track yake ya sina jambo ni kali sana kama track...
Mambo zenu wakubwa na wadogo.
Naomba mwenye kufahamu nitaipataje link ya kuidownload hii series anipatie tafadhari. Nilikuwa najaribu kuipata kupitia youtube inagoma.
Nataka kudownload Season 2...