Msaada wa Hii movie (queen of the south)

Annny

Senior Member
Jul 9, 2017
150
167
Mambo zenu wakubwa na wadogo.

Naomba mwenye kufahamu nitaipataje link ya kuidownload hii series anipatie tafadhari. Nilikuwa najaribu kuipata kupitia youtube inagoma.

Nataka kudownload Season 2.

Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa msaada wenu, najua hakuna linaloshindikana hapa.

Wako: Annny
 
samahani mkuu kwa kuuliza swali tofauti.
natafuta jina la yule jamaa wa kwenye Movie ya Sarafina aliyekuwa anawasaliti kwa Makaburu wale wanafunzi wa soweto.

natanguliza shukrani kwa yoyote atakaenisidia
 
Ngoja waje
 
Hahahaha we jamaa uliwaza nn, ahahahagahahaha..yule adi akasakiziwa mbwa kwenye fensi au!?
 
Asante sana, na nikitaka kuidownload nafanyaje kaka
Natumai una IDM kwenye Laptop yako Dada
1.bonyeza Play kwenye Episode husika
2.ikianza kuplay ile notification ya IDM inakuja automatic
3.Anza kudownload kama ambavyo ulikuwa unafanya kipind unadownload kwenye Youtube

Kama Huna IDM pitia link hii hapa u download install then utaendlea na Procedure hapo Juu
Download IDM Universal with B21 rar

Kwasababu ni Zipped file download kwanza hii Winrar
WinRAR download and support: Download
 
queen of the south ndio my favourite series naipenda zaidi ya sana, kwa sasa camila kadakwa na dea, mali zake zote aliandikisha jina la theresa mendoza hivyo noma kaachiwa theresa na theresa alikuwa hajui kama camila kasajili mali zake kwa jina la theresa.... tam mno
 
Theresa anasepa mbali sana
 
Back
Top Bottom