masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,279
Nilifarijika sana leo wakati natizama movie inaitwa aquos PEOPLE kiukweli niliipenda na ikabidi niirudoe mara kama 3 hiyo scene mahali mama katika movie hiyo aliikua anaucheza huo wimbo kwa madaa sana huku kama anaufatisha hivi
wapo master kibao ikiwemo bint mmoja alieko pia kwnye best man of hollyday...an soo on
jamani huyu mama yuko wapi,analojua alikua ana influence kias hicho
lakini pia nikawaza uwenda kuna muhaya katika ie movie particulally mtanzania
AISEE WAHAYA OYEEEE
MPAKA HOLLYWOOD