cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
Since first hit yake hadi sasa bill nass amekua akitoa nyimbo ambazo ukiwa umechoka na mawazo ukizisikiliza tu basi unajisikia fresh ghafla
hii track yake ya sina jambo ni kali sana kama track zake tulivyozizoea
Big up Bill nass kwani baada ya kusikiliza Zimbabwe unahitaji pia kupumzika na kusahau shida kwa minutes.
Saizi mziki wa Bongo umekuampana sana. I love Bongo music I love my Country
Shida ni John na daudi tu.
Sikiliza Sina jambo attached beat kutoka MJ records sio ya kawaida inakupa radha tofauti kabisa na music tuliozoea kuisikia kwa sasa