Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,610
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti.
Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze mziki hata enzi zile unampata girl friend anataka mwende disco kucheza nilikuwa nashindwa nimejikuta sijui kucheza afu naona aibu sana .
Swala hili limenifanya kila nikihudhuria masherehe au sehemu ambako watu wanaserebuka kuonekana mnyonge kisa sijui kucheza .Nachoweza labda kujitikisa kidogo nikiwa nimekunja uso au kwaito kwa mbali.
Sasa nawaza siku ya harusi yangu itakuwaje maaana naonaga maharusi wanacheza hadi basi wanacheza mastaili ya nguvu ambayo mwenzenu siwezi.
Nifanyeje nami nijue kucheza angalau hata nkipitishaga pombe uwa siwezi mi ni bingwa wa kuongea (kuchangamsha genge) ila ukipigwa mziki mnaniacha nimejikalia
blame no body