Dishi kubwa

Dishi kubwa

Wadau nauliza kuhusu receiver za dishi kubwa unaweza kutumia kwenye uelekeo wa dish ndogo za Azam na nyinginezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unaweza,kwani kwenye uelekeo wa azam unataka kukamata sat gani,maana uelekeo huo kuna sat nyingi tu,mfano nilesat iko uelekeo wa azam

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Ndio unaweza,kwani kwenye uelekeo wa azam unataka kukamata sat gani,maana uelekeo huo kuna sat nyingi tu,mfano nilesat iko uelekeo wa azam

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Uelekeo mwengine ilikuwa intel sat 906 nataka frequency mpya Kwa muelekeo wa azam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom