Mchango wa wa marafiki katika kazi za msanii

Mchango wa wa marafiki katika kazi za msanii

cosa nostra

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1,773
Reaction score
1,809
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia atoe nyimbo mbovu inayo mshushia heshima yake.

Tujaribu kuangalia msanii Ali Kiba ana marafiki gani na wanamsaidia kiushauri kabla ya kutoa nyimbo?

This time amedissapoint sana mfalme huyu wa Kkoo na marafiki zake wakimpa Big up kinafiki wakijua kabisa nyimbo si hadhi yake.rafiki mnafiki wa Kwanza Ommy Dimpoz
 
Hata idriss aliwai kusema msanii akitoa ngoma mbovu jua ana marafiki wanafiki

blame no body
 
Back
Top Bottom