Msaada: Series za mambo ya siasa na ujasusi!

Msaada: Series za mambo ya siasa na ujasusi!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,330
Reaction score
37,758
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake!

Mpaka sasa nimeangalia

1. 24 hours

2. Homeland

3. Strike back

4. Blacklist(sikuimaliza)

Je ni series gani nyingine nzuri ambazo haziboi?

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada naomba Homeland season 6&7

Season 7 Bado haijatoka, season six ndo imetoka this january. Kuipata ingia torrent utaipata. Majid Javadi aliyekuwa anakaimu nafasi ya ujenerali wa pakistan baada ya Danish akbar kuuliwa na brody amerudi.

Tumia hii torrent site, www.thepiratebay.org
 
Asanteni..maana nina tatizo la kuishia episode za mwanzo, nikipata mwongozo kama hivi inakuwa safi..
 
Season 7 Bado haijatoka, season six ndo imetoka this january. Kuipata ingia torrent utaipata. Majid Javadi aliyekuwa anakaimu nafasi ya ujenerali wa pakistan baada ya Danish akbar kuuliwa na brody amerudi.

Tumia hii torrent site, www.thepiratebay.org
Nilijua tu Brody hajafa bado naicheki nipo season ya 6 episode ya 4
 
Back
Top Bottom