Johnson theodore
Member
- Dec 18, 2017
- 16
- 3
Atlanta season 1 iko poa sana
Anyone watched it season 2 inatoka lini? au ishatoka?
Anyone watched it season 2 inatoka lini? au ishatoka?
achana na atlanta kwanza.....kacheki Vikings mdgo wangu......utakuja kunishukuru hapa
Mi naangalia double cara
Unamaanisha nini ?Hii movie nina was was nayo hata jina mangwangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Double Kara niliangalia season 1 ,ya2 nimeangalia episode mbili tu nikaacha,kiukwel nimekinai tamthilia za kiphilipino.Mi naangalia double cara
Endelea kuangaliaDouble Kara niliangalia season 1 ,ya2 nimeangalia episode mbili tu nikaacha,kiukwel nimekinai tamthilia za kiphilipino.
Team Ivar the boneless,leo ep 07 hahahaachana na atlanta kwanza.....kacheki Vikings mdgo wangu......utakuja kunishukuru hapa