Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Huu uzi ni maalumu kwa Upcoming Artist ,
Wale wasanii ambao wametoa kazi zao na hazijapata Airtime au hawana majina kwenye industrie ya muziki na jamii kwa ujumla.
Weka kazi yako hapa ili Fans waweze kusikia na kushare kwa wengine .
Karibuni sana upcoming Artist wote na fans wake kwenye uzi huu maalumu.