Kwanini Bongo movies ilikufa kabla ya Kanumba?

Hisha Sorel

Senior Member
Dec 27, 2017
192
140
Edit: kuna michapio miwili ndani ya post na itabadilishwa...thanks

Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya filamu Tanzania: yani, Kupungua kwa mapato na kufifia kwa majina na filamu maarufu nchini.

Kwani ni matazamo wangu kwamba tasnia ya film Tanzania illianza kufifia kabla ya kifo chake, na hii ilikua kwa ajili ya sababu 3 muhimu ninazo elezea ndani ya video.

ANGALIA VIDEO KWA UCHAMBUZI...
Thanks.

 
Ile movie inaitwa Nsyuka na si Nsuka

Halafu unasema "Mida Maarumu"? kweli?

NImeishia hapo kuangalia...
 
Ile movie inaitwa Nsyuka na si Nsuka

Halafu unasema "Mida Maarumu"? kweli?

NImeishia hapo kuangalia...
Thanks for
Kiswahili changu sio kizuri, na mabadiliko yatakuwa edited. Ila ningependa ungemalizia ili nisikie point of view yako.

Asante kwa feedback
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom