Wimbo wa Komba mgeni...

Wadau nipate wapi wimbo wa Komba mgeni na mambo kwa sox wa Remmy Ongara...nmejaribu mtandaoni holaaa

Naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • Screenshot_20170630-121451.png
    Screenshot_20170630-121451.png
    65.4 KB · Views: 88
Aisee tulikuwa tunawaza wote.
Hivi karibuni nimejikuta nauimba imba sana sema ndo hivyo sina. Nitafurahi kuupata
 
Duuuh.! Huu wimbo sijawahi kufanikiwa kuupata na ninautafuta sana mkuu. Nilijua labda kuna mtu kaupata hapa
 
Back
Top Bottom