MTU WA KIJIVU MIXER WEUPE.

MTU WA KIJIVU MIXER WEUPE.

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,849
Reaction score
2,442
cbf19d3801cac0087f5ce4d654e8c9f7.jpg

Naomba kufaam huyu mtu mwenye ngozi mithili ya minofu raini ya samaki,nazionaga tu picha zao hawa watu wa dizaini hii wapo kweli ama ndo picha za kubuni za hawa wazungu?,ama kuna jambo lililo nyuma ya pazia.
 
King of knights, Kwenye Game of Thrones wapo wengi
 
hao watu wapo ni kama aliens inasemeka chakula chao kikuu ni samaki wabichi hii ndo inapelekea rangi yao kuwa hivo
Naomba kama una wafaam kwa jina nikawatafute uko kwny website.
 
kweli kaka jaribu kuwaulizia ulizia unaweza ukawapata kuna research unaandaa au?
Ndio kijana zipo nyingi ninaanza hii kwanza nitapopata majibu kwa wataalam nitatupia nyingine.
 
Back
Top Bottom