Hivi soko la season (series) limekuteka kiasi gani?

Gwangzu

JF-Expert Member
Dec 21, 2017
2,460
3,818
Siku hizi nashindwa kulala kisa season yaani nakesha usiku kucha naangalia series tuuuuu.
sio kama zamani wakati soko la bongo movie lilivyo tamba.
hivi tatizo ni nini au na wewe upo hivyo?
 
Huo ni moja kati ya ulevi uliotawala majumba ya watanzania.

Hili soko silijui hata linavyofanana. Na sijawahi kutekwa na soko Hili.
 
Inatokana na kuendekeza uvivu.

Au mtu akishanunua sarafu za bitcoin. Anasubir bei ipande akavute mkwanja
 
Back
Top Bottom