mimi mnyeti
Member
- Dec 21, 2017
- 55
- 82
Sina u team kwenye mafanikio ya mtu na wala hayanisaidii. Lakini mtu anapofanya jambi jema na la kupongezwa inabidi apongezwe. Amekuwa msanii ambaye amelata mageuzi makubwa katik tasnia ya sanaa hasa kwa suala la utafutaji na ujasiriamali. Nimeona leo kapost wasafi headquarter ambalo ni jengo jipya kiukweli sina budi kumpongeza. Well done
Ningependa kuambatanisha na video lakini ulimbukeni kwenye masuala ya teknolojia umenijaa.
Ningependa kuambatanisha na video lakini ulimbukeni kwenye masuala ya teknolojia umenijaa.