Wasanii Tanzania [emoji1241]

Wasanii Tanzania [emoji1241]

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,938
Je unadhani ktk Tanzania ya sasa bado kuna wasanii walio kioo cha jamii?
 
humuoni mrisho mpoto..?
waimba kwaya je huwaoni..?
kama huwaoni basi tambua hicho kioo chako cha jamii kimeshapasuka!
 
humuoni mrisho mpoto..?
waimba kwaya je huwaoni..?
kama huwaoni basi tambua hicho kioo chako cha jamii kimeshapasuka!

Mkuu unajibu swali kwa swali sio!!! So unasema bado ni vioo..
 
Wasanii ?????? !!!!!!!
Ndiyo kina nani hao
 
Back
Top Bottom