chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Wakuu habari...!!kama kawaida wale wapenzi wa series movies hi series ya Vikings tuliokuwa tunaifatilia kuanzia season 1 mpaka sasa kufika season 5 imefikia pazuri sana now ipo epsode ya 8 aisee ni nzuri sana vita imekuwa kubwa sana mtafaruko ndani ya familia ya marehemu mfalme legnard na watoto wake civil war kubwa balaa now ni shida yani mambo ni moto iko mahala pazuri
sana.
Cjui nn kitatokea tusubirie iyo jumatano ijayo nn kitatokea je Iva the boneless ata give up vita hii ya kifamilia je lagata atachua mamuzi gani juu ya Iva na mwenzie step sons wake walio mzingua na pia vip kusu uyu bishop Edmund je atapona na kama akipona atakuwa upande wa lagata??? Vp kusu flock na kundi lake la wanao abudu miungu alio wapeleka ile sehemu anayo amini yy kwamba ni sehemu ya miungu vp wataweza ku survaivor na vp kusu uyu king wa England na watoto wake wawili hawa itakuwaje mmoja mkewe judith alizaa na Prist Arthustan je nn kitajili jumatano ijayo ndani ya History chanel,Viking ni bonge moja la series.
[HASHTAG]#Vikings[/HASHTAG] series#History#