Wimbo gani unakupa motisha ya kuisaka hela?

Wimbo gani unakupa motisha ya kuisaka hela?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,777
Reaction score
6,907
Dah, mimi hii ngoma 'Can't Stop the Reign' ya Biggie na Shaq kila nikiisikiliza najiambia niendelee tu kupambana hadi kieleweke.

I wish tu Biggie mwisho angesema God badala ya devil, lakini nadhani ni hip hop thing.

90's Hip Hop ilikuwa level nyingine kabisa.

Zingine:

Onesimus - Testimony
Mercy Masika - Mwema
James Nee - Amazing
 
Bigger than yesterday. Sijui kaimba nan [emoji52][emoji52] is very interesting blues song
 
Try everything-shaqla
inanifanya nijaribu vitu vingi ili tu nitengeneze chapaa
 
Nimeukubali. Napenda hip hop ya namna hii.
Yaan kiukweli tofauti na hiyo Sikati Tamaa ya Darasa labda Kabwela ya Stamina zote ni nyimbo flan amazing sana hasa ukiwa hauna hela[emoji3]
 
sia - unstoppable


avicii - nights


Deep central - in love


ule mlio wa bbc world news inapoanza aseeh nalipenda lile biti.


Shakira waka waka


Nameless Narudi Nyumbani



VIVA FOREVER


FEEL THE MAGIC IN THE AIR
 
1.Remmy Ongara.. Jamani Dodooma eeh! Dodoma ya Watanzania.. Inanipa mzuka Wa kwenda Dodoma kujenga nchi

2. Remmy Ongara.. Narudi nyumbani maisha ya dsm sio mchezo- pia inanipa mzuka Wa kukimbia jiji na kurudi kijijini kulima
 
1)the script-hall of the fame
2)darasa - nishike mkono
3)john cena- my time is now
4) bahati bukuku-wewe ni baba
5) bony mwaitege- mwamin mungu utafanikiwa
 
Back
Top Bottom