Kipindi Cha Moyo (Citizen TV)

Kipindi Cha Moyo (Citizen TV)

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
778
Reaction score
727
Je Kuna Citizen TV ya Kenya kule Tanzania? (Mi ni Mkenya.) Ikiwa kunayo, kuna kipindi ambacho kilijulikana kama "Moyo" kilichokuwa kikija Jumatano (Saa Moja unusu usiku,) na marudio yake saa kumi na Moja jioni (Jumapili.)

Kuna kipindi kingine kitaanza Jumatano hii kinachoitwa "Aziza" amabcho natumai kitakuwa kizuri kama Moyo. Ikiwa we ni mpenda Drama basi karibu.
 
Back
Top Bottom