Naomba wadau na serikali imkumbuke 20%

Naomba wadau na serikali imkumbuke 20%

Emma Mnyama

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
201
Reaction score
183
Nyimbo zake kila ukisikiliza zinaingia hadi kwenye sakafu ya ubongo.
Lakini siku hizi sijui nini kimempata, naomba wadau mrudisheni kwenye mziki

20% Mungu akukumbuke, akuinue tena
 
Back
Top Bottom