Mchekeshaji Babu Mkombe tafadhali fanya mazungumzo na Mizengwe ujiunge nao.

mbona simuonagi futuhi ila jamaa yuko vyema na braza k nae ni habari nyingine.

ila mizengwe jamaa wako vzr wale
Mizengwe inaangaliwaga mostly na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea juu ambao hawajui comedy za maana zikoje.

Kukuta kijana anaangalia mizengwe ni ajabu maana maigizo yao hakuna jipya ni maigizo ya kitoto kitoto/kijinga jinga tu hayana creativity yoyote.
 
naangalia kila j2 mkuu, ni kijana mwenye akili na busara za kizee.

najua unapenda comedy za sex sex, ndo maana mafunzo ya mizengwe unahisi ni kwa ajili ya wazee
 
naangalia kila j2 mkuu, ni kijana mwenye akili na busara za kizee.

najua unapenda comedy za sex sex, ndo maana mafunzo ya mizengwe unahisi ni kwa ajili ya wazee
Sawa mkuu,ila kwa kua mm sijaongelea mambo sex ila umeyaleta mwenyewe inaonekana unayafuatilia sana.

Vipi unamjua CHEROKEE DE'ASS?
 
Sawa mkuu,ila kwa kua mm sijaongelea mambo sex ila umeyaleta mwenyewe inaonekana unayafuatilia sana.

Vipi unamjua CHEROKEE DE'ASS?
ahahahaha de'ass tena mkuu ni mchekeshaji ama yuko mizengwe hii hiii ama nyingine

We jamaa bhana
 
Huyu bwana ni mzuri sana kwenye vichekesho na anauwezo wa kumchekesha mtu, nadhani akiungana na Kashi kashi group aka Mizengwe wa ITV tutakula burudani ya aina yake. Ni hayo tu.
Ulimwona wapi akifanya onesho?
 
Nina wazo la kuja kutengeneza series matata sana ya comedy ikiwakusanya:- Braza K, Babu Mkombe, Mboto, yule msukuma wa futuhi ya mwanzo nimemsahau jina, Tin white, Ringo, Ben Branco, Ktale, Hemedy, Aunt Ezekiel, Asha Boko, Riyama, JB, Rado (maduhu), Uwoya, Grace Mapunda, Gabo...... Na maarufu wengine kama 15 hivi ambao wamo kwenye list yangu, nachanganya na wasio maarufu zaidi ya 27,naamini itakuwa ni series ya aina yake pia nimeshapata mchanganuo wa bajeti yake....... Wapenzi wa comedy sasa inawaijia kivingine kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom