Jumatatu ni yakuamka ni #BONGOMOVIE mpya!!
Pata kutazama kazi ya "DR.CHENI" akiwa ameigiza na "GABO ZIGAMABA" #SINEMA kali ya "TAMAA IMENIPONZA"
Part 1 :
Part 2 :
#BONGOMOVIE #BONGOMOVIES...
Mwanakijiji ameanzisha mada ya kukumbushia nyimbo bora zenye majina ya kike. Ndani ya mada hii nimeweza kupata mashairi ya nyimbo nyingi za zamani zilikuwa zinavuma miaka ya 70, 80 na mwanzoni wa...
“I CAN’T believe we made it,” Beyoncé kaimba maneno hayo kwenye wimbo mpya uitwao Apeshit, maneno yayomaanisha “Siamini kama tumefanikiwa.”
Maneno haya yana maana kubwa kwa Beyoncé, pengine...
Mimi nilihisi Big Sean ameisha,
Uwezo aliounesha kwenye nyimbo kama "My Last" na "All of the Lights" ulikuwa mkubwa sana lakini baadae sijui nini. Alikuwa ana uwezo wa kunata sana na biti na...
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa na ndoto hii, ikienda na kurudi. Nashindwa wapi pa kuanzia.
Ni mpenzi mkubwa sana wa movies. Napenda sana pia kuigiza na imekuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana.
So...
Hyy guys,
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi hiki bomba ndani ya Clouds FM, kila Siku ya Jumapili SAA tano kamili asbh hadi Saba mchana kikiongozwa na Mwanadada matata sana ( MomyBaby).
Kuna ule...
Kutokana na lile tukio lililotokea nchini Burundi miezi michache iliyopita la wachezaji waliofungwa jela baada ya kumchezea rafu Rais wa nchi hiyo,sijasikia Shirikisho la mpira wa miguu duniani...
Striker wa zamani wa Real Madrid ambae Kwa sasa amesign kuichezea Juventus Christiano Ronaldo, amehukumiwa kwenda Jela miaka 2 pamoja na kulipa faini ya Euro Million 19 ambazo ni zaidi ya sh...