Wimbo wa taarab wa Mwanahela Sege sege ulioimbwa miaka ya '93/94

Official Fisherman

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wadau naomba mwenye huo wimbo hapo juu aunipe au anipe link ya kuudaunlodi. Nimeshatafuta sana bila mafanikio.
Baadhi ya lyrics zake ni .".....kulishwa sahani moja wewe na mume mwenzio,
Usikione kioja dunia yetu ya leo,
Wake tumeerevuka, nasi twaitaka pajero eee ..."
 
Seegee Seegee aaaiiyaa. .......aaaiiyaa mwajimwagua mwaka Seegee. ....
Labda BAK anaweza kutusaidia kuweka hapa. Hata mie enzi hizo umetoka nilikuwa napenda kuuimba nikiwa nafanya kazi za nyumbani kama usafi... kupika.... kufua.... basi wala sichoki.
 
Juzi Mwanahela alikuwa anahojiwa na TBC,nadhani anapiga deiwaka Dar Morden Taarab
Hata hivyo tembelea banda la TBC Sabasaba wanauza nyimbo za zamani
 
dah ! unanikumbusha mbari sana na b mkubwa enzi hizo
nilizitafuta hizi nyimbo kwa 7bu tu afurahi mamaangu ninayo bwana hiyo ni zile chonge na nyingne kali oldtaarab pm namba yako jioni nikirudi nakutumia
Kobelo! Ulamka! Miyago Kilongora, wa ukae! Naomba msaada wa ile nyimbo ya taarabu ya MWANAHELA. 0717210880
 
Seegee Seegee aaaiiyaa. .......aaaiiyaa mwajimwagua mwaka Seegee. ....
Labda BAK anaweza kutusaidia kuweka hapa. Hata mie enzi hizo umetoka nilikuwa napenda kuuimba nikiwa nafanya kazi za nyumbani kama usafi... kupika.... kufua.... basi wala sichoki.
Mmmmh
 
Back
Top Bottom