Ngoma Mpya ya Mzalendo

Ngoma Mpya ya Mzalendo

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,335
Reaction score
3,140

Mzalendo aachia ngoma nyingine "Changamoto" baada ya kimya cha muda mrefu. Hii ni mara ya kwanza toka alipoachia ngoma kali ya "Nasogea Goligota".

Ndani humo amewapiga vijembe BAD, Mh. Wa mambo ya Nyumbani n.k

Mzalendo Noma.
 
"Page ya Mange ndio TBC ya wanyonge"

Noma kweli kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom