Enzi zile za wakali wa kucheza Disco, kina Athumani Digadiga na Black Moses.
Nakumbuka alikuaga bonge bonge hivi,miaka hiyo ya 90'sDuh Digadiga nilikutana nae Mbeya bar moja inaitwa Carnival amekua dereva tax ukimuona huwezi mkumbuka aiseeeee.
Nakumbuka alikuaga bonge bonge hivi,miaka hiyo ya 90's
Ha ha ha Digadiga akinyimwa ushindi lazima alete valangati aisee,Black Moses nadhani amefariki..Enzi zile za wakali wa kucheza Disco, kina Athumani Digadiga na Black Moses.
Nawakumbuka sana Mkuu.Mkuu unawakumbuka wale ma Michael Jackson wa kibongo
Sio mchezo athmani digadiga alikuwa bonge kiasi hivi lakini alikuwa ananyumbulika huyo.Enzi zile za wakali wa kucheza Disco, kina Athumani Digadiga na Black Moses.
Kuna mmoja aliitwa maganga nadhani.Nawakumbuka sana Mkuu.
kama ata wewe ulumkumbuka ntamkumbuka tuDuh Digadiga nilikutana nae Mbeya bar moja inaitwa Carnival amekua dereva tax ukimuona huwezi mkumbuka aiseeeee.