Kwanini wanaume wanaoa zaidi ya mke mmoja?

Kwanini wanaume wanaoa zaidi ya mke mmoja?

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
687
kama inavojulikana kuwa mwanamke ni kama kanisa la kristo .na inabidi tuwapende wake zetu kama kanisa .je kwanini sasa wanaume wengine wanaoa zaidi ya mke mmoja??
je wanashindwa kuhimilizi changamoto za ndoa? au ni tamaa za kimwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo tulivyoumbwa kupenda zaidi ya mmoja vidume, so ili kuepusha zinaa tunaowa zaidi ya mmoja, pia inasaidia heshima ya ndoa na ndio uwanaume asaaa, huwaga hatutakagi unafiki ( michepuko ) tunakuambia live kuwa nataka niengeze mke wa wa nne sasa we ukisusa wanzio wanakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwauaume ila sijaoa wake zaidi ya mmoja. Hivyo asituunganishe.
 
Back
Top Bottom