radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Hii ngoma kali sana kwa upande wa wadada wanaofanya hip hop na trap imakaa poa sana bit yenyewe nzito naona anafanya poa sana huyu mdada.
Katika hii ngoma yupo na jamaa anaitwa Emtee naona wameitendea haki ukija upande wa video bado ni hatar sana
Hongera Rosa Ree mwanzo nilijua nguvu ya soda piga mzigo.