Serebuka - Mwansity

Serebuka - Mwansity

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,399
Reaction score
88,855
wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi... wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo

hook

labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka
tunasubiria serebuka2
unaweza penda tena we

verse

wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe

(repeat hook & chorus)
maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa lakini yote mipango ya mola
alichopanga lala lala eeh

 
Naona kama kuna dalili za mtu wa jf kuangukiwa na zali la mentali hapa. Kama unajua kubebisha jaribu bahati yako, mlango wa upendo wa Mzigua90 unaonekana upo wazi kama bahari ya Oysterbay.😉


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
hii nyimbo nikiwa ukumbini kwa sherehe lazima niupige... hasa muda wa kula watu wanaupenda sanaaa...
 
Naona kama kuna dalili za mtu wa jf kuangukiwa na zali la mentali hapa. Kama unajua kubebisha jaribu bahati yako, mlango wa upendo wa Mzigua90 unaonekana upo wazi kama bahari ya Oysterbay.


Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Sidhani Kama anaweza kutokea huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom