Gozbert Kwenye Shukrani vs Shalom Beautifier

Gozbert Kwenye Shukrani vs Shalom Beautifier

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,593
Reaction score
94,358
Umofia kwenu wana JF,

Nimeusikiliza kwa makini sana wimbo wa Gozbert Goodluck - Shukrani na Wimbo wa Shalom Chris - My Beautifier naona kama melody zinashabihiana kiaina.

Inawezekana nikawa wrong kwa sababu sio mtaalamu wa muziki lakini kwa akili ya kawaida ya Dr Shika unaweza kusikia kama kuna mfanano flani hivi ingawa si KAMA WOTE lakini baadhi ya Touch kama zinalandana.

Siwezi Kusema kwamba Goodluck Gozbert Kateleza kwenye Ganda la ndizi au Povu la sabuni juu ya Tiles lah inawezekana idea zimefanana tu na hakuna aliyemcopy mwenzake.

Au wewe mdau kama umesikiliza hizo nyimbo unasemaje?

Shalom katoa February 2017 na Gozbert katoa June 2017.



 
Back
Top Bottom