Mchezo wa kamali wa bonanza

Mchezo wa kamali wa bonanza

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Kuna huu mchezo mpya unaitwa bonanza a.k.a Dubu ni mchezo mpya wa kamali umeletwa na wachina,watu wengi mnanaufam. huu mchezo ningeomba serikali muwaambie hao wachina waweke sehemu maalum ya kuchezea sio ovyo ovyo kila mahari watu wanacheza hata vichochoroni, Unakuta watoto hawaendi shule wanacheza huo mchezo, na ukiwauliza kwanini hamuendi shule wanakwambia ety na wao wanazarisha hela [emoji23]
 
Bonanza ni noma lile ukiweka coin 1 huwezi acha..unaweza kujikuta umeweka hadi elfu 10
 
Mzungu ukiona anatengeza kitu akaamua kukisimamia mwenyewe A to Z ujue hicho kitu hakimuangushi kwani zile pool table wasisimamie wenyewe kwenye mauzo ya token.
Huwa wanayatengeneza Na kuyauza ila haya Madudu hatarishi kila siku wao ni kusomba mipesa ya wajinga na kinachoshangaza zaidi wale wote wanaowafanya mawakala wao moja ya masharti ni kuwanasihi kutokucheza hiyo kamale Na bado waTZ hawajaamka.
*KINACHOKERA SASA*
Palipigwa marufuku ya bar Na hizo pool table zisifunguliwe hadi saa 8 mchana na kwa mikoa niliyopita kwa uchache nimeona limepokelewa kwa kuheshimu walotangaza.
Ila cha ajabu haya madudu ni masaa 24 hayanaga time rasmi sasa sijui lipi katika haya lina madhara katika jamii????
 
Back
Top Bottom