Clouds FM rekebisheni usikivu wa redio yenu Mbeya

Ta Nanka

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
1,230
1,904
Kwa siku kadhaa nilizopo hapa Mbeya kumekuwa ma mwingiliano wa mawimbi ya redio yenu (88.5) na redio kiss FM (88.3), kila baada ya muda kidogo. Hali hii inakera. Chukueni hatua tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huna namba zao?
Vipindi vyao si unasikiliza ? Unashindwaje kutoa maelezo yako kwny vpnd vyao.

Haya ni matumizi mabaya ya JF.

Kila msikilizaji wa Mbeya anaesikiliza redio Hiyo,akianzisha Uzi hapa itakuwaje?
Au kila radio station ikisumbua watu wanaanzisha Uzi hapa ingekuwaje?

Bila shaka mode's watafuta thread hii.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
 
Kwani huna namba zao?
Vipindi vyao si unasikiliza ? Unashindwaje kutoa maelezo yako kwny vpnd vyao.

Haya ni matumizi mabaya ya JF.

Kila msikilizaji wa Mbeya anaesikiliza redio Hiyo,akianzisha Uzi hapa itakuwaje?
Au kila radio station ikisumbua watu wanaanzisha Uzi hapa ingekuwaje?

Bila shaka mode's watafuta thread hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu jingi mazee?! Si bure utakuwa umevurugwa. Kwan matumizi ya JF ni nini?
 
Back
Top Bottom